Bunju_B_Housing_slider1

Bunju B Housing Estate

Nzuri na Bei Nafuu:

Hamia kwako leo (Pesa Taslimu au mkopo Benki Washirika).

Watumishi Housing Company inawaletea watumishi wa umma nyumba zenye ubora wa hali ya juu zilizopo eneo la Bunju B, Mabwepande Kilometa 2.5 kutoka barabara kuu ya Bagamoyo. Uzinduzi wa nyumba hizi unaonyesha dira nzuri ambauo inawawezesha watumishi wa umma kumiliki nyumbazao wenyewe kwenye eneo lililo na miundo mbinu ya kisasa.

Sifa Nyingine za nyumba hizi ni kama ifuatavyo:

  • Zipo umbali wa kilometa 2.5 kutoka barabara kuu ya Bagamoyo.
  • Zipo karibu na shule.
  • Zipo karibu na maduka.
  • Zina sehemu ya kuchezea watoto.

Njia za malipo.

  • Mkopo kutoka Benki husika.
  • Kulipa kidogo kidogo wakati wa ujenzi wa mradi ukiwa unaendelea kwa makubaliano maalum.

Bei za Nyumba.

price_bunju_b