Gezaulole_Apartment_New2

Gezaulole Residents

Hamia kwako leo (Pesa Taslimu au mkopo Benki Washirika):

Watumishi Housing Company inawaletea watumishi wa umma nyumba zenye ubora wa hali ya juu zilizopo eneo la Gwzaulole-Kigamboni. Uzinduzi wa nyumba hizi unaonyesha dira nzuri ambauo inawawezesha watumishi wa umma kumiliki nyumbazao wenyewe kwenye eneo lililo na miundo mbinu ya kisasa.

Gezaulole Residence ni mradi wa nyumba ambazo ni za aina mbili. Nyumba za kawaida na maghorofa. Nyumba  za kawaida zipo za vyumba vitatu zenye eneo la mraba 85 na 115. Nyumba hiziza vyumba vitatu zin maeneo kama sebule, jiko choo, bafu Veranda na Master bed room pamoja na vyumba viwili vya kulala.

Kwenye maghorofa kuna apartment ya chumba kimoja,vyumba viwili na vyumba vitatu.Kwa kila Apartment kuna sebule,jiko,bafu,choo na veranda.

Gezaulole_fourth

Sifa Nyingine za nyumba.

  • Zipo umbali wa kilometer 17 kutoa Ferry.
  • Zipo wenye eneo lililotengwa kwa ajili ya mji wa kisasa.
  • Zina sehemu ya kuchezea watoto.

Njia za malipo.

  • Mkopo kutoka Benki husika.
  • Kulipa kidogo kidogo wakati wa ujenzi wa mradi ukiwa unaendelea kwa makubaliano maalum.