Habari na Matukio

IMAG1391

Mkurugenzi Mtendaji wa WHC Dk Fred Msemwa akielezea mchoro wa ramani ya Mradi wa Nyumba wa Mkundi kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe Dk Rajabu Rutengwe katika hafla ya uzinduzi wa mauzo ya nyumba katika Mradi wa Ujenzi wa Nyumba wa Mkundi katika Manispaa ya Morogoro iliyofanyika tarehe 30 Novemba 2015.

 

IMAG1556

Wahariri wa magazeti mbalimbali wakiuliza maswali ili kupata ufafanuzi juu ya shughuli za WHC katika hafla ya kutambulisha shughuli za WHC kwa vyombo vya habari iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Chuo cha Taifa cha Utalii tarehe 18 Disemba 2015.

IMAG1570

Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa WHC Bw Paskali Massawe akijibu swali juu ya jinsi WHC inavyojiendesha katika kutekeleza miradi yake katika hafla ya kutambulisha shughuli za WHC kwa vyombo vya habari iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Chuo cha Taifa cha Utalii tarehe 18 Disemba 2015.

IMAG1546

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa WHC Arch Weja Lutobola Ng’olo akitoa ufafanuzi juu ya maendeleo ya miradi ya ujenzi wa nyumba inayoendeshwa na WHC katika hafla ya kutambulisha shughuli za WHC kwa vyombo vya habari iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Chuo cha Taifa cha Utalii tarehe 18 Disemba 2015.

IMAG1574

Afisa Masoko na Mawasiliano wa WHC Bw Raphael Mwabuponde akielezea utaratibu wa shughuli nzima katika hafla ya kutambulisha shughuli za WHC kwa vyombo vya habari iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Chuo cha Taifa cha Utalii tarehe 18 Disemba 2015